Ubalozi wa China mjini Paris leo umeikosoa misimamo iliyotolewa na Ufaransa na Umoja wa Ulaya kuhusiana na maandamano ya mjini Hong Kong na kusema ni unafiki na kuitaka Ufaransa kuonyesha huruma baada ya nchi hiyo yenyewe kushuhudia maandamano ya ghasia.
Katika taarifa kupitia tovuti yake, ubalozi huo wa China umeelezea kutoridhishwa kwake na kuudhiwa na unafiki wa matamshi ya Umoja wa Ulaya na nia mbaya ya baadhi ya mataifa dhidi ya China.
Taarifa ya Umoja wa Ulaya kimsingi ilitoa wito kwa maafisa wa serikali kujizuia kutumia nguvu kubwa katika kukabiliana na waandamanaji na badala yake kuelekea kwenye mdahalo wa kisiasa katika kumaliza mivutano.
Maafisa wakuu wa Ufaransa wamejiepusha kutoa matamshi rasmi kuepusha kuzorota kwa uhusiano na China kabla ya rais Emmanuel Macron kuanza ziara ya siku nne nchini humo.
Eneo la Hong Kong lililokuwa koloni la Ufaransa limekumbwa na maandamano ya miezi kadhaa dhidi ya serikali.

No comments :
Post a Comment