Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, October 9, 2019

Maandalizi ya ununuzi wa Korosho yakamilika!

Serikali imesema maandalizi ya ununuzi wa korosho kwa msimu wa 2019/2020 yamekamilika.

Hayo yalielezwa mjini Mtwara, na Naibu wa Wizara ya Kilimo, Omari Mgumba wakati wa mkutano wa wadau wa Korosho.

Mgumba alisema maandalizi ya ununuzi wa zao hilo kwa msimu huu wa 2019\2020 yamekamilika. Kwani korosho zote za msimu uliopita zimeuzwa. Hivyo kutoa nafasi kwa maghala kuwa wazi.
Alisema hofu ya uhaba wa maghala ya kuhifadhia haipo, kwani maghala mengi yapo tupu baada ya korosho kuondolewa. 5:  Mgumba alisema tani 22 zimeuzwa. Ambapo shilingi 663 bilioni zhmelipwa wakulima.

Mgumba aliweka wazi kwamba hadi sasa wakulima wanadai jumla ya shilingi 29 bilioni. Huku watoa huduma wakidai 24 bilioni.

Mgumba aliwapa matumaini wakulima hawanaodai kwa kuwahaidi  ifikapo tarehe 30, mwezi huu watakuwa wamelipwa.

Ambapo maghala kwa ajili ya ununuzi kwa msimu huu yamefunguliwa. '' Mfumo utakao tumika kwa ununuzi ni wastakabadhi ghalani. Mfumo mpya utaanza baada ya wakulima kupewa elimu. Tena serikali kupitia bodi ya nafaka na mazao mchanganyiko haitanunua zao hilo. Bali kama ikitaka(bodi) kununua itaingia kama wanunuzi wengine,'' alisema Waziri Mgumba.

No comments :

Post a Comment