Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 8, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MSIKITI WA ISTIQAAMA BOMANI MJINI SUMBAWANGA, AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA UWANJA WA NELSON MANDELA!

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dit. John Pombe Magufuli akivua viatu kabla ya kuingia na hatimaye kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dit. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Shehe wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali kabla ya kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine akikata utepe kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine wakiitikia dua inayoongozwa na msaidizi wa Rais Alhaj Ali Masella baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi mchango wa shillingi milioni tano kwa asili ya kukamilishia vifaa vya kuswalia kama vile mazulia Shehe wa Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali akishuhuduiwa na viongozi wengine baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
Umati wa wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowatuhutubia katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019.

 PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment