Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, October 12, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI VIWANJA VYA CHAMANANGWE PEMBA.!

Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza lamapinduzi mhe.dk.ali mohamed shein, akitembelea banda la maonesho la shirika la biashara la taifa zanzibar.(zstc) wakati wa hafla ya maonesho ya siku ya chakula duniani yanayofanyika katika viwanja vya chamanangwe wilaya ya wete pemba.(picha na ikulu)
Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mhe.dk. ali mohamed shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya siku ya chakula duniani yaliofanyika katika viwanja vya chamanangwe wilaya ya wete pemba leo.(picha na ikulu)
Waziri wa kilimo maliasili mifugo na uvuvi mhe.mmanga mjengo mjawiri akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya siku ya chakula duniani yaliofanyika katika viwanja vya chamanangwe wilaya ya wete pemba leo.(picha na ikulu)


Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi.mhe.dk. ali mohamed shein, akifungua maonesho ya siku ya chakula duniani yaliofanyika katika viwanja vya chamanangwe wilaya ya wete pemba , kulia waziri wa kilimo maliasili mifugo na uvuvi zanzibar.mhe. mmanga mjengo mjawiri.


(picha na ikulu)

No comments :

Post a Comment