AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 15, 2019

IRAQ: Polisi Watumia Mbwa Kuwatisha Waandamanaji, Waandamanaji Watumia Simba Kuwatisha Polisi!

Tangu Oktoba 01, 2019 wananchi wa Iraq walianza maandamano akidai kukithiri kwa rushwa na utawala usiokidhi katika kuongoza nchi hiyo.

Ina daiwa Polisi wanaopambana na waandamanaji hao wanatumia Mbwa waliofunzwa ili kuwatawanya waandamanaji hao lakini katika kujibu mapigo mmoja wa waandamanaji aliandamana na Simba akitishia kuwashambulia Mbwa wa Polisi na Polisi wenyewe.
Takriban watu 319 wakiwemo waandamanaji na Polisi wamefariki tangu kuzuka kwa maandamano hayo huku Makundi kadhaa ya Haki za Binadamu wakilalamikia Polisi kwa kutumia nguvu zaidi katika kutuliza waandamanaji hao.

No comments :

Post a Comment