dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, November 23, 2019

Msanii Akon kujenga mji wake mwenyewe!


Mwanamuziki na Mfanyabiashara Akon yupo mbioni kujenga mji wake mwenyewe utakaoitwa Akon City, mjini ambao utakuwa na kila kitu kama viwanja vya burudani, Majengo ya biashara pamoja Viwanja vya Ndege.
Mji huo utakuwa nchini Senegal na unategemewa kumalizika kujengwa ifikiapo mwaka 2025, hiyo ni kwa mujibu wa Akon mwenyewe alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha redio cha Power 106.


No comments :

Post a Comment