Mtanzania, Elizabeth Mrema, ameteuliwa kuwa Kaimu Katibu Mtendaji wa Sekretarieti inayosimamia Mkataba wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa tofauti za kibiolojia (CBD).Uteuzi huo umefanywa na Katibu Mkuu wa UN, António Guterres kufuatia kujiuzulu kwa Cristiana Palmer raia wa Romania kutokana na sababu za kiafya na utaanza rasmi Disemba 1, mwaka huu.

No comments :
Post a Comment