dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, November 24, 2019

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA GAWIO KUTOKA KWA MASHIRIKA, TAASISI NA KAMPUNI, IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA LEO!!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 7, 211, 321, 076.40 ikiwa ni gawio la Benki ya CRDB toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya hiyo Bw. Abdulmajid Nsekela na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo Bw. Ally Laay (wa pili kulia) kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi za umma iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumapili November 24, 2019.Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John PombeMagufuli akipokea mfano wa hundi ya gawio ya Shilingi Bilioni 169 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Prof. Ignatus Rubalatuka (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Mamlaka hiyo, Mhandisi Deusdedit Kakoko (wa pili kulia) kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi za umma iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumapili November 24, 2019. Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango. TPA ndio taasisi ya umma iliyoibuka
kidedea kwa kutoa gawio Kubwa kuliko wole.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John PombeMagufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 10, 487, 518, 800 ikiwa ni gawio la Benki ya NMB toka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya hiyo Bi. Ruth Zaipuna (kula) na Mjumbe wa Bodi
ya Wakurugenzi wa Benki hiyo Bi. Margareth Ikongo, kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi za umma iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumapili November 24, 2019.Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge laJamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Shilingi Bilioni 24, 991, 134, 200 7, 211, kutoka kwa Mwenyekiti ya Bodi ya Ushauri ya Wakala wa. Huduma za Misitu Misitu Tanzania (TFS) Brigedia Jenerali Msafiiri Mkeremi na Kamishna Mhifadhi wa Wakala hiyo Profesa Dos Santos Silayo kwenye hafla ya kupokea gawio toka taasisi mbalimbali iliyofanyika Ikulu Chamwino leo Jumapili November 24, 2019.Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai na kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango.

PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment