Wizara ya afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya saba wa corona na kufikia idadi ya wagonjwa 105.Wagonjwa 36 wameruhusiwa kurudi Nyumbani mara baada ya hali zao kuridhisha.
Tumuombe Allah atusaidie amin.
https://www.worldometers.info/coronavirus/
https://www.worldometers.info/coronavirus/
No comments :
Post a Comment