Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, September 2, 2020

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA!

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya
Chama Cha Mapinduzi CCM wakati wakiimba Wimbo wa Chama kabla ya kuongoza Kikao
hicho cha Kamati Kuu jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi
CCM jijini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Ali
Mohamed Shein mara baada ya kutoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha
Mapinduzi CCM jijini Dodoma . 
PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment