Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, February 13, 2021

PESA ZILIZOOKOTWA MWENYEWE KAPATIKANWA OMAN!

SOMA MAELEZO HAPA CHINI 
BAADA YA HII VIDEO CLIP!
AN HONEST ZANZIBARI FINDS A HUGE SUM OF MONEY LOST BY AN UNKNOWN OWNER! 
(THIS VIDEO WAS ORIGINALLY UNDER THE ABOVE TITLE)! 

"Assallaam alykum jamani naomba niwafikishie ujumbe kwamba zile pesa zilizo okotwa na kutolewa matangazo mara mbili sasa mwenyewe keshapatikana na yupo Oman na thamani ya pesa hizo zilikua ni milioni 150.
Nilipo swali swala ya Adhuhuri msikiti Shurba ndio ilitolewa taarifa hiyo leo mwezi mosi sawa na tarehe 13/02/2021.
Kwa ujumbe huu hatutakiwi kusambaza tena ujumbe wa kuokotwa kwa pesa. 
Sasa usambazwe ujumbe wa kwamba pesa zishapatikana mwenyewe ambae keshatumiwa hizo pesa kupitia benki".

2 comments :

  1. ZANZIBARNIKWETU, ujuwaji wote huo lakini kiswahili kinakupigeni chenga. Kupatikanwa na kupatikana ni maneno mawili tafauti. Kupatikanwa ni kama rafiki yako au mtu wa mbali kakucheza au kakuibia, lakini kitu kikionekana inakuwa kimepatikana na sio kimepatikanwa. Bora toweni msgs zenu kwa kiswahili ili mkijue vizuri na sio kushikilia kizungu, kwani tupo Canada hapa???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Annonymous - your concern is appreciated, but that was a TYPO. Check the title of the video.
      Please, support our Patreon scheme @ https://www.patreon.com/zanzibarnikwetu

      Delete