Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia na kuwashukuru wananchi wa mkoa wa Morogoro mara baada ya kufungua Kiwanda cha MW Rice Millers limited kilichopo Kihonda mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare, Mkurugenzi wa Kiwanda cha Ngozi cha Taifa-Morogoro Rostam Aziz wakati akifungua Kiwanda hicho cha Ngozi cha Taifa-Morogoro kilichopo Kihonda katika Manispaa ya Morogoro leo tarehe 12 Februari 2021







No comments :
Post a Comment