Below: Mhe. Omar Said Shaaban na Mhe. Nassor Ahmed Mazrui wa Act-Wazalendo wakiapishwa leo kwenye kikao cha Baraza la Wawakilishi mjini Unguja, kufuatilia uteuzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi kama Katiba ya Zanzibar inavyojieleza.




No comments :
Post a Comment