- A REVOLUTIONARY LESSON FOR PBZ BANK TO LEARN AND IMITATE!
Kutokana na kitendo hichi cha kimapinduzi cha CRDB, pengine ndugu zetu wa PBZ bank na wao watasoma kuwa wakati umefika wa kubadilika kwaajili ya maendeleo ya nchi yetu ya Zanzibar.
PBZ bank ilituahidi Wana-Diaspora tokea 2015 kuwa itatuwezesha kufungua accounts kwenye PBZ bank kiurahisi kabisa ili tuliopo nje tujiwekee hakiba yetu nyumbani, kwani hakiba kibindoni kwa huku tulipo haikai. Accounts hizo waliziita Diaspora Accounts.
Kilichotokea ni kuwa wale tuliokuwa tukizungumza nao walibadilishwa positions zao za kazi. Wengi tulidhania kuwa ukizungumza na PBZ bank huwa huzungumzi na watu binafsi bali unazungumza na taasisi nzima. Kumbe hivyo sivyo. Watu wapya waliochukua nafasi zao hawakujali tena nini kilikubaliwa huko nyuma, hata baada ya kuwaomba na kuwakumbusha.
Anyway, juu ya hivyo tunaishukuru PBZ bank kwa kukubali kuileta WorldRemit Tanzania, kwani mpaka leo tungelikuwa tumeganda na Western Union na MoneyGram ambazo fees zao zilikuwa zipo juu kwani walikuwa hawana competition katika upelekaji wa remittances kwa Tanzania kutoka nje.
Hizo hizo benki za Bara ambazo leo zinaishangiria WorldRemit na zimeipora uwakilishi PBZ bank wa WorldRemit katika Tanzania, ndio zilikuwa za mwanzo kupuuza idea ya kuileta WorldRemit Tanzania. Bila ya PBZ bank kukubali kuileta WorldRemit Tanzania pengine mpaka leo ingelikuwa haijaja au ingelichelewa kuja. Kwa hili tunawashukuru PBZ Bank kwa umahiri wao wa kibiashara.
Anyway, as they say, it is what it is!

Baada ya kukubaliana na PBZ bank vizuri na kutuletea vipeperushi huku nje kuhusu faida na requirements za Diaspora Accounts, PBZ iliingia mitini hadi hii leo, hata baada ya kila wakati kuwakumbusha.
Kilichotokea ni kuwa wale tuliokuwa tukizungumza nao walibadilishwa positions zao za kazi. Wengi tulidhania kuwa ukizungumza na PBZ bank huwa huzungumzi na watu binafsi bali unazungumza na taasisi nzima. Kumbe hivyo sivyo. Watu wapya waliochukua nafasi zao hawakujali tena nini kilikubaliwa huko nyuma, hata baada ya kuwaomba na kuwakumbusha.
Mpaka hii leo idea yakuwa na hizi Diaspora Accounts imekuwa a dead phenomenon.
Anyway, juu ya hivyo tunaishukuru PBZ bank kwa kukubali kuileta WorldRemit Tanzania, kwani mpaka leo tungelikuwa tumeganda na Western Union na MoneyGram ambazo fees zao zilikuwa zipo juu kwani walikuwa hawana competition katika upelekaji wa remittances kwa Tanzania kutoka nje.
Hizo hizo benki za Bara ambazo leo zinaishangiria WorldRemit na zimeipora uwakilishi PBZ bank wa WorldRemit katika Tanzania, ndio zilikuwa za mwanzo kupuuza idea ya kuileta WorldRemit Tanzania. Bila ya PBZ bank kukubali kuileta WorldRemit Tanzania pengine mpaka leo ingelikuwa haijaja au ingelichelewa kuja. Kwa hili tunawashukuru PBZ Bank kwa umahiri wao wa kibiashara.
Inasikitisha kuwa hata CRDB sio tu walikataa bali walikaa kimya juu ya idea ya WorldRemit na hata kutujibu hawakutujibu. Inafurahisha kuwa kutokana na wakati kubadilika CRDB leo imegeuka na kuwa na muono wa mbali wa kimaendeleo kwa Taifa letu na sasa wamethubutu kuleta mapinduzi kama haya katika ufunguwaji wa accounts.
Our only hope ni kuwa na PBZ bank nayo itabadilika na itakuwa na fikra za muono wa mbali zaidi hasa kwavile sasa wamepata Managing Director mpya ambae tunategemea atakuwa na muelekeo mpya.
Anyway, as they say, it is what it is!

No comments :
Post a Comment