Alikuwa katika wanafunzi wasomi makini wa wakati wa mapinduzi ya Afrika miaka ya 1960 kuelekea 1970.
Salim Msoma likuwa mwanachama wa University Students's African Revolutionary Front (USARF) chama ambacho kilianzishwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam mwaka wa 1967 na wanachama wake walikuja kuacha alama katika historia za ukombozi wa nchi zao kama John Garang na Rais Yoweri Kaguta Museveni.
Kwa kweli Tanzania imepoteza msomi makini mwenye hekima, busara, unyenyekevu wa hali ya juu na mtu ambae wengi walinufaika na fikra zake.
Pumzika kwa amani
Innalillah wa Inna Ilaihi Rajiun
No comments :
Post a Comment