Msikiti huu wa kisasa upo Chake Chake njiani kuelekea Airport. Consultant ni kampuni moja ya kizanzibari kutoka Dubai/Muscat. Ni sadagah jariah ya muislamu mmoja kutoka UAE - Mola ambariki na ampe Jannatul Firdaus!
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
WOW!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete