Timu ya Tanzania ikiingia kwa moyo juu katika uwanja wa michezo wa Alexander jijini Birmingham, Uingereza, katika sherehe za ufunguzi rasmi wa Michezo ya 22 ya nchi za Jumuiya ya Madola ambapo Team Tanzania ilishangiliwa sana kwa uchangamfu wake na Maelfu ya watazamaji wakiongozwa na Prince Charles
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment