Tangazo
Inawakaribisha wananchi wote katika maadhimisho ya siku ya Moyo duniani Alhamis tarehe 29/9/2022 yatakayoanza kwa matembezi ya miguu kuanzia uwanja wa mnazi mmoja hadi mnara wa kisonge (Mapinduzi square) kuanzia saa kumi na mbili kamili za Asbhi.
Baada ya matembezi hayo kutakuwa na huduma za upimwaji wa Afya na matibabu buree! kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nane mchana
Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mhe Hemed Suleiman Abdulla.
Shime wananchi mnaombwa kuhudhuria kwa wingi.
Ahsanteni nyote mnakaribishwa.
Mtu ni Afya
Tumia moyo kwa kila moyo wa mtu.
No comments :
Post a Comment