zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 18, 2022

STATEMENTS OF SOME MISGUIDED NUTS IN THE DIASPORA!


*KWA NINI HADHI MAALUMU?*

1. Hakuna kinga kamili ya kuzuia raia wa kigeni kupata uraia pacha hasa wakitumia ndoa na baadhi ya vigezo vingine muhimu.

2. Uraia pacha una hasara nyingi kwa wanadiaspora ambazo zinaepukika kwa hadhi maalumu. Hasara hizo ni pamoja na kodi mara mbiki, kugonganisha sheria za nchi mbili, na kuhatarisha uraia wa nje. Vilevile wanadiaspora hatuna uwezo wa kiuchumi wa kushindana na matajiri wa kigeni watakaochukua uraia pacha Tanzania.

3. Uraia pacha una hasara kwa watanzania na serikali. Hasara hizo ni katika nyanja za uchumi, (wazawa kukosa kazi), kijamii(utamaduni) na serikali kukosa kodi za wawekezaji watakaochukua uraia pacha. Vilevile kuna masuala ya usalama wa taifa.

4. Waliopo kwenye nchi zinazokataa uraia pacha kama Holland, Austria, nchi nyingi za Amerika ya kusini, bara Arabu, baadhi ya nchi za Afrika kama Congo, Asia karibu yote, China na vinchi vyote vya kichinachina ikiwemo pengine hata Japan hawatanufaika kabisa na uraia pacha. Wazanzibar wamefikia mpaka kuomba wapewe vyote hadhi maalumu na uraia pacha kwa sababu wana familia kubwa Arabuni.

5. Serikali imekataa kutoa uraia pacha. Na hakuna mahakama ya Tanzania inayoweza kutengua tamko la rais.

6. Ni kweli wanaongoza hii movement ya uraia pacha wana shinikizo la kutaka katiba mpya. Na serikali imeshawatambua hivyo. Na pia wengi wao hasa viongozi wao hawana uraia wa nje.

7. Isitoshe watu wa uraia pacha kwa makusudi wanataka kuzuia hadhi maalumu isitoke. Wanaamini ikitoka uraia pacha basi tena. Na katika hiyo kesi yao wameazimia kuweka zuio la kutolewa kwa hadhi maalumu.

Kwa haya yote, kwa anaetaka manufaa yake kama mwanadiaspora, it's a no brainer, hadhi maalumu is the way to go.

No comments :

Post a Comment