Ndege waliozeheka hawawezi kuruka kutafuta chakula.
Wanalishwa na watoto wao ambao hawakusoma wala kuhudhuria mihadhara ya dini.
Wanajuwa jukumu lao.
Subhana'Llah...
Mfano wa ajabu kwa sisi bin Adam..
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment