dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 1, 2024

BALOZI WA Tz MAREKANI ATINGA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA MJINI TEXAS!

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NA MEXICO, MHE. DKT. ELSIE KANZA ATEMBELEA MEZA ZA WAJASIRIAMALI WAKIWEMO WADAU WA UTALII WALIOHUDHURIA KONGAMANO LA DIASPORA, AUSTIN, TEXAS
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico akipata picha ya kumbukumbu mara tu baada ya kuwasili kwenye kongamano kubwa la Diaspora lililofanyika kwa siku 3 Austin, Texas nchini Marekani. Picha na Vijimambo Blog
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo,akiwasili kwenye kongamano akiongozana na afisa Ubalozi Abdul Malik (kulia) siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024 Austin, Texas kwenye resort ya Kalahari.
Watatu toka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akiwa na mwenyeji wake, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa wa Bank ya NMB mara tu walipowasili kufunga kongamano kubwa la Diaspora lililofanyika kwa siku 3 Austin, Texas nchini Marekani siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024.
Mmoja ya mdau waliohudhuria kongamano la Diaspora nchini Marekani akipata picha na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza akiwa na mgeni wake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo wakipita kwenye meza za wajasiriamali na wadau wa utalii waliokuja kwenye kongamano kubwa la Diaspora nchini Marekani lililofanyika Austin, Texas katika Reosort ya Kalahari.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza akisalimiana na wadau kutoka Vodacom alipotembelea meza yao.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza akisalimiana na wadau kutoka Vodacom alipotembelea meza yao.
Mmoja ya mdau akikabidhi kitabu alichoandika kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Dkt. Elsie Kanza.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


`

Picha kwa hisani ya Vijimambo blog!

No comments :

Post a Comment