TANZIA !
PROFESA NGUGI WA THIONGO AFARIKI!
Dunia Mzima Inaomboleza Kifo Cha Mwandishi Nguli Raia Wa Kenya Profesa Ngugi Wa Thiongo . Habari Za Kifo Chake Zimetangazwa Na Familia Yake.
Ngugi Wa Thiongo Amefariki Dunia Akiwa Na Umri Wa Miaka 87.Ngũgĩ wa Thiong'o Ni Mwandishi Na Msomi Ambaye Ameelezewa Kuwa "Mtunzi Mkuu Wa Riwaya Afrika Mashariki".
Alianza Kuandika Kwa Kiingereza, Akabadili Kuandika Hasa Katika Lugha Yake Ya Mama 'Kikuyu'. Kazi Zake Ni Pamoja Na Riwaya, Tamthilia, Hadithi Fupi Na Insha, Kuanzia Uhakiki Wa Kifasihi Na Kijamii Hadi Fasihi Ya Watoto.
Pumzika Kwa Amani Nguli !

No comments :
Post a Comment