AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, May 20, 2026

Wapendwa Wanachama na Marafiki WA ZACADIA!

ZACADIA imo katika jitihada za kuboresha mawasiliano, utoaji wa taarifa, na uwepo wetu mtandaoni.

Kwa sasa tunapanga kuifanyia maboresho tovuti rasmi ya Jumuiya yetu <www.zacadia.ca> ambayo kwa sasa haipo hewani kutokana na maboresho yanayokusudiwa.

Hata hivyo, kutokana na changamoto za kifedha, hatuwezi kutekeleza mradi huu bila msaada wa wanachama wetu na wadau mbalimbali.

Kwahivyo, tunaomba kila mwanachama na mdau kuchangia chochote atakachoweza kwa ajili ya kufanikisha zoezi hili muhimu. Hakuna mchango mdogo. Kila mchango utakuwa ni mchango mkubwa katika kusaidia kujenga tovuti ya kisasa na yenye ufanisi zaidi kwa manufaa ya Jumuiya na jamii yetu kwa ujumla.

Michango inaweza kutumwa kupitia e-Transfer kwa barua pepe ya Muweka Hazina au kupelekwa moja kwa moja katika akaunti ya benki ya Jumuiya kwa kutumia taarifa zifuatazo:

JINA LA JUMUIYA:
ZACADIA

JINA LA BENKI:
BANK OF MONTREAL (BMO)

NAMBA YA AKAUNTI:
8977-348

FINANCIAL INSTITUTION NO:
001

BRANCH TRANSIT NO:
03732

BARUA PEPE YA MUEKA HAZINA:
hsothman@yahoo.com


Tunathamini sana ushirikiano wenu, moyo wenu wa kujitolea, na kuendelea kuiunga mkono ZACADIA.

Kwa pamoja, tunaweza kujenga jamii imara zaidi na yenye mshikamano mkubwa.

Ahsanteni sana.

/Kamati ya Utendaji - ZACADIA

N.B. / Ukihitaji maelezo zaidi piga simu kwa Board Member yoyote yule: 
416.994.6422; 647.453.3856; 647.404.8618

No comments :

Post a Comment