HONGERA KOMMANDO
KWA SHAHADA YAPILI YA UZAMIVU!!!
KWA SHAHADA YAPILI YA UZAMIVU!!!
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof.Idris Ahmada Rai (kushoto) akimkabidhi shahada ya uzamivu (PHD) ya Heshima ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar. Rais mstaafu wa awamu ya tano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Salmin Amour Juma nyumbani kwake Migombani mjini Zanzibar kulia mjumbe wa Baraza la Chuo hicho Mohammed Said Dimwa
Source: Mapara
No comments :
Post a Comment