HARUSI YA SAYUNI NA JACKSON, COLUMBUS, OHIO
Watu wote walipendeza kwenye sherehe ya Harusi ya Sayuni na Jackson lakini Vijimambo ilibahatika kuwapata hawa wachache kutokana na Mpwa kua Dj kwenye harusi hiyo.
Juu ya hivyo tunawatakia maharusi maisha marefu ya furaha na upendo!
Source: Vijimambo
No comments :
Post a Comment