Mimi Rahma T. Ali, mwananfunzi wa International Medical and Technological University (IMTU). Nimepoteza wallet yangu maeneo ya Muhimbili hospitali. Wallet hiyo ilikuwa na fedha kidogo (15,000 Tsh) na "documents" zangu muhimu zifuatazo. 1. ATM cards mbili (2 ) za NBC, 2. Kitambulisho cha Bima ya Afya (NHIF), 3. Kitambulisho cha Ukaazi cha Zanzibar 4. Kitambulisho cha Uanafunzi cha IMTU na 5 Picha aina ya passport size mbili (2). Hivyo basi kwa heshima kubwa, naomba mtu yeyote atakayeiona/okota wallet yenye vitu hivyo au baadhi ya vitu hivyo awasiliane nami kwa +255659891110 au aviwasilishe Idara ya Masikio, Pua na Koo (Department of ENT) hapo muhimbili hospitali. Natanguliza shukrani zangu za dhati Mimi Rahma T. Ali.
Source: Mjengwa
No comments :
Post a Comment