Hii mijadala hapa chini ni kutoka blog moja huko nje na tunaona inafaa kusomwa na wote.
Bw. Nkumba katupa ruhusa tuchapishe msg yake baada ya kumuomba. Umuhimu wa hizi msgs ni kuwa hawa waandishi ni ndugu zetu kutoka Bara wanaotumia vichwa vyao. In other words, fairnes, openness and impartiality are what guide them!

/Geo Kimbi
What trickles to the emaciated fella is the 4.5%
----- Forwarded Message -----
From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Sent: Sunday, October 7, 2012 10:52:45 AM
Subject: Re: MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!
From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Sent: Sunday, October 7, 2012 10:52:45 AM
Subject: Re: MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!
Kaka ............,
>Isitoshe kwa asilimia wanayoipata lazima itakuwa kubwa sana kama ikilinganishwa katika misingi ya watumiaji (idadi ya watu)
Kaka, kumbe hujafahamu Wazanzibari wanalalamika nini siku zote hizi. Mimi nimewafahamu mapema sana, labda kwasababu wapo nyumbani na kila siku ninayasikia hayo hayo. Hivyo unavyoeleza wewe ndio kiini cha malalamiko yao. Tukubali kuwa, Muungano, day in day out unawasukuma nyuma Wazanzibari badala ya kuwasukuma mbele. You don't need to be a hardcore CUF member to know that - hata Bw. .......... akikaa chini with two crates of Heineken and a cool mind na akafikiri vizuri badala ya mtu mzima kuropokwa ovyo atajua hivyo. Mimi mwenyewe ninaipenda Tanzania sana kama mtu mwengine yoyote yule na ninaomba tuendelee hivi hivi, lakini kama Muungano una-inhibit the progress of other people, then, let it go peacefully. Hata tukiuvunja Muungano (I know this is hard for Bw. .......... to imagine) tusiwafanyie ngumu Wazanzibari, bali tuwasaidie zaidi kuliko hivi sasa - as they are only looking for a better life na sio kutuhujumu sisi. They will always be our neighbours. Tukiwaachia ni kweli haitokuwa rahisi kwao - wao wanajua na sisi tunajua, but in the end they will prevail. 20 years out of the Union, Zanzibar will not be the same, but another 50 years in the Union it will continue (just like us) to wallow in misery and poverty!
/Nkumba.
From: ......................................................
To: ...........................................................
Sent: Saturday, October 6, 2012 11:15:37 AM
Subject: Re: MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!
To: ...........................................................
Sent: Saturday, October 6, 2012 11:15:37 AM
Subject: Re: MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!
Hivi Zanzibar hawana poverty katika rural areas? Au wao hawahitaji kuimprove service delivery?
em
em
No comments :
Post a Comment