Katiba Mpya: Wengine tunahisi kwamba hii Kamati ya Warioba ya kutafuta maoni ya wananchi ni kupoteza pesa bure. Watu washawachagua wabunge wao, kwanini wabunge wasitoe maoni ya watu wao kwa niaba yao? Pili, tunategemea nini kutoka kwa watu wa vijijini ambao hata hio Katiba hawajawahi kuiona maishani mwao? SIO TUNATAKA KUPITISHA MAMBO AMBAYO HATA WATU HAWAJAYATAMKA?
XXX
No comments :
Post a Comment