Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, October 22, 2012

MKUSANYIKO WA EID AL-ADH-HA TORONTO


23/10/2012 

JUMUIA YA WAZANZIBARI WAISHIO CANADA (ZANCANA) IKISHIRIKIANA NA MADRASAT AL-AMEEN NA WANAWAKE WA WA KIZANZIBARI WA AL-HIDAYAH , INAFURAHA KUWAARIFUNI KUWA IMEANDAA MKUSANYIKO WA EID EL-ADH-HA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE 27 OCTOBER, 2012, KATIKA KUANZIA SAA TISA KAMILI (03:00 PM), KATIKA UKUMBI WA LAWRENCE HEIGHTS COMMUNITY CENTRE.
SADAKA ZA VYAKULA NA VINYWAJI ZINAKARIBISHWA NA KILA MTU AMUARIFU MWENZAKE WAZANZIBARI WOTE WA MIJI YA GTA, HAMILTON, ST. CATHERINE, NIAGARA FALLS, OSHAWA, NEW MARKET, HATA OATTAWA WAKIWAHI.
INASISITIZWA KUFIKA KWA WAKATI. KUNA MAHOLI 2 MOJA LA WANANWAKE NA MOJA LA WANAUME.
EID GATHERING:
VENUE: LAWRENCE HEIGHTS COMMUNITY CENTRE
ADDRESS: 12 Flemington Rd, North York, ON
DATE: SATURDAY, OCTOBER 27, 2012
TIME: 03:00 pm.
UKIJA KWA SUBWAY SHUKA LAWRENCE WEST STATION NA UKIJA KWA GARI YAKO KUTOKA WEST TUMIA ALLEN RD NA UTOKEE FLEMINGTON RD. NA UKIJA KUTOKA EAST UNAWEZA KUJA NA LAWRENCE NA KUINGILIA BLOSSOMFIELD DR. AU VAMA DR. AND THEN FLEMINGTON RD.
THE LOCATION NI BAINA YA BLOSSOMFIELD DR. NA VAMA DR.
 SHUKRANI

No comments :

Post a Comment