Saturday, October 20, 2012
Mkutano mkuu wa nane wa UWT
waanza leo
Rais Mstaafu wa Tanzania Mama Siti Mwinyi
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT
waliohudhuria mkutano huo leo katika ukumbi
wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Baadhi ya wake wa Viongozi, wakiwa ukumbini humo
wakati wa ufunguzi huo wa mkutano Mkuu wa nane
wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)
uliofanyika leo Oktoba 20, 2012, sambamba na
uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa akifungua mkutano
Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania
(UWT) uliofanyika leo Oktoba 20, 2012 katika
ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma,
sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT Taifa
Wajumbe wa UWT CCM Mkoa wa mjini magharibi
wakiwa katika mkutano mkuu wa nane wa UWT
Mbunge wa Afrika mashariki Shayrose Banji akijaribu
kutuklizwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT CCM
baada ya kutokea kutoelewana na Sofia simba ambaye alikuwa
mwenyekiti wa awamu iliyopita wa umoja huo jana baada
ya kumuuliza swali akiomb kura katika ukumbi was mipango
Dodomaleo Ibrahim Joseph
wajumbe wa mkutano mkuu wa jumuia ya wanawake uwt
wakiwa kwenye foleni ya kuingia kwenye mkutano tayari
kupiga kura kumchagua kiongozi waounaofanyika mjini
dodoma leo
Chanzo: ZanZinews/Vijimambo
No comments :
Post a Comment