KWA NIABA YA UONGOZI WA ZANZIBAR-CANADIAN DIASPORA ASSOCIATION, NACHUKUWA FURSA HII KUWASILISHA KWENU WAZANZIBARI NA WAISLAMU WOTE KWA JUMLA MKONO WA EID TUKUFU ILIOADHIMISHWA LEO IJUMAA DUNIANI KOTE BAADA YA IBADA KUBWA YA HIJJAH.
KATIKA EID WATU HUFURAHI PAMOJA NA KUPEANA MIKONO YA EID NA KUSAHAU YALIYOPITA NA KUSAMEHEANA KWA MAKOSA AMBAYO WAISLAMU WAMEFANYIANA.
ZACADIA INAWATAKIA KILA LA KHERI WAZANZIBARI WOTE POPOTE WALIPO DUNIANI NA INAWASHAURI WAZANZIBARI WALIOKO CANADA KUWA KITU KIMOJA NA KUTHAMINI VISIWA VYETU VYA ZANZIBAR.
EID MUBARAAQ WA KULLU AAM WA ANTUM BIKHAIRI
KNY:
UONGOZI WA ZACADIA
NAWASALISHA
No comments :
Post a Comment