Wednesday, October 31, 2012.
JK Azindua ujenzi Wa Barabara Hai
Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga katika eneo
la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya
Mhe John Pombe Magufuli Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
Mhe Leonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi
wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA
Mhe Freeman Mbowe katika picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya uzinduzi
wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo
Chanzo: Mjengwa
No comments :
Post a Comment