Published On: Thu, Nov 1st, 2012
TAHADHARI: Ongezeko La Mvua
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
Simu: 255 22 2460735/2460706
FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056
Simu pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM
Tovuti: www.meteo.go.tz
Unapojibu tafadhali nakili:
Kumb. Na.: TMA/1622 Imetolewa: 31 Oktoba, 2012
TAARIFA YA ONGEZEKO LA MVUA
FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056
Simu pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM
Tovuti: www.meteo.go.tz
Unapojibu tafadhali nakili:
Kumb. Na.: TMA/1622 Imetolewa: 31 Oktoba, 2012
TAARIFA YA ONGEZEKO LA MVUA
Taarifa Na. | 20121031-01 |
Muda wa Kutolewa Saa za Afrika Mashariki | Saa 10:30 Alasiri |
Daraja la Taarifa: 1:Taarifa 2:Ushauri 3:Tahadhari 4:Tahadhari Kubwa: | Taarifa |
Aina ya Tukio Linalotarajiwa | Ongezeko la mvua |
Eneo | Katika baadhi maeneo ya mikoa ya Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita,Simiyu, Singida, Dodoma, Rukwa, Tabora, Njombe, Iringa na Mbeya |
Maelezo | Katika kipindi cha siku mbili zijazo (1-2/11/2012) kunatarajiwa kuwa na vipindi vya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa tajwa hapo juu. Hali hii inatokana na kuwepo kwa viashiria vya ongezeko la unyevunyevu angani sambamba na kuwepo kwa makutano ya upepo katika maeneo hayo. |
Maelezo ya ziada | Hii ni taarifa ya awali, Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea kufuatilia mabadiliko ya mifumo ya hali ya hewa na itatoa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyo patikana |
Imetolewa na
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
Chanzo: WotePamoja blog
No comments :
Post a Comment