Mtaalam wa Cocktail Sir Thabith
Kutoka kushoto ni mtaalam wa madikodiko na mtalaam wa kachumbari
Mtaalam wa Chapati katika tabasamu mwanana
Mtaalamu wa Mchuzi akiwa na Babu Terry
Watatu kutoka kulia ni mtalaam Biriann na mama mwenye nyumba wake
Toka kushoto ni mtaalamu wa sambusa akiwa na mdogo wake
Kikundi cha kisukuma cha watanzania waishio Denamark na wadenishi walitoa burudani siku hiyo, wazungu hao wanaimba kisukuma, wanaongea kiswahili.
Juu na chini wageni waalikwa wakipata maakuli
Kutokana na ukosefu wa mahali pa kusherehekea sikukuu ya uhuru
hasa kwa kipindi hiki tunachokaribia X-mass tarehe ya 9Dec.
watanzania waishio Denmark walisherehekea sikukuu hiyo tarehe 1st.Dec.
Kwa picha zaidi bofya read more
Papaa, mzee wa makofia
Kama jadi ya wimbi wa Taifa ukiimbwa inabidi kusimama
Juu na chini ilikuwa Kwaito time
Wasukuma wakifanya vitu vyao
Wageni waalikwa wakifurahia ngoma ya kisukuma
Msukuma wa kizungu huyo kazini!
Huyo kijana Pombe kwake mwiko kabisaaaa
Dj Dave akiwa na Mshereheshaji Mr.Tambwe
Lucy Komba (kushoto) akiwa na rafiki ya wake
Warembo katika picha ya pamoja
Hapo chachaaa...raha jipe mwenyewe
Mtu na wajina wake ndani ya mduara
Bibie akionyesha utaalamu wakukata mauno
Mambo ya mduara hayoo
Juu na chini ni Jaketi lililotengenezwa kwa kitenge
Jaketi lililotengenezwa kwa kitenge
Bw. Saidi akiwa na Dada yake
Kijana wa nyimbo za kufokafoka akifanya vitu vyake
Wakati wa Kwaito
No comments :
Post a Comment