ILE Double Celebration ya kusheherekea uhuru wa Tanzania
na Kenya iliyofanyika Luton Uingereza Jumamosi December
15, 2012 na kuaandaliwa na Luton Tanzanian Community kwa
kushirikiana na Kenyan Community ilikuwa ya kufana na kupendeza,
kulikuwa na ukataji keki ya Independence uliofanywanaMwenyekitiwa
Luton Tanzanian Community Bw. John Mbwetekwakushirikiananakatibu
wake Bw. Abraham Sangiwa. Mambo yalikuwa safi na palikuwa na
burudani ya kila aina na genuine East African Cousine na vinywaji aina
zote maana yake palikuwa hapatoshi. Umoja, amani, Upendo, Utani na
Undugu ndivyo vilivyotawala katika shamrashamra hizi ambapo pia
ndugu zetu wengi toka Uganda pia walijitokeza na kuahidi ushirikiano
katika kudumisha Umoja wetu kama wana East Africa katika maeneo
mbalimbali yanayotugusa pamoja.
Watanzania katika picha ya pamoja kwenye ile Double Celebration
ya kusheherekea uhuru wa Tanzania na Kenya iliyofanyika Luton
Keki yenye bendera ya Tanzania ikikatwa katika ile Double
Celebration ya kusheherekea uhuru wa Tanzania na Kenya
iliyofanyika Luton Uingereza Jumamosi December 15, 2012
sherehe ziliandaliwa na Luton Tanzanian Community kwa
kushirikiana na Kenyan Community kwa picha zaidi bofya read more
picha kwa hisani ya Abraham Sangiwa
………………………………………
Katibu Luton Tanzanian Community
Source: Vijimambo
No comments :
Post a Comment