NASI KUTOKA
BLOG LA
ZANZIBAR NI
KWETU
TUNAKUPA
HAPPY BIRTHDAY
DADA LAU
KYARIGA
Lau Kyariga (KATI) akipigwa na butwaa na kubaki kinywa wazi pale
alipofanyiwa surprise birthday na Caroline akishirikiana na mume
wake January Mwita nyumbani kwa kulwa na Dotto yeye alifikiri
anawapeleka wadau kwenye party kumbe ni party yake mwenyewe
Lau Kyariga (kati) akiwa amebaki hajui la kufanya huku akiwa
ameshikiriwa na asije akafanya maamuzi ya kuondoka
Lau Kyariga akizima mshumaa kwenye surprise birthaday yake iliyofanyika
Jamaa na marafiki wakisherehekea surprise birthday pamoja na Lau Kyariga.
Lau Kyariga Birthday Girl akiwa amekaa akipata picha ya pamoja na
ndugu waliokuwepo kwenye surprise borthday yake.
Birthday Girl katika picha ya pamoja jamaa na marafiki
ni wakati wa kupata picha na birthday girl.
Birthday girl akiendelea kupata ukodak moment.
Kwa picha zaidi bofya read more
Chanzo: Kwa hisani ya Vijimambo Blog
No comments :
Post a Comment