Viongozi mbalimbali wakimlaki Rais Jakaya Kikwete
kwenye uwanja wa ndege wa Lindi mkoani Lindi leo asubuhi hii
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika uwanja wa ndege wa
Lindi mara baada ya kuwasili mkoani Lindi asubuhi hii
ambako anahudhuria maadhimisho ya siku ya ukimwi
duniani yanayofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Ilulu
mkoani humo, wadau mbaloimbali wanaojihusisha na
masuala ya kupambana na ugonjwa wa ukimwi
wamejitokeza na kushiriki katika maonyesho yenye
lengo la kuelimisha na kukumbusha juu ya hatari za
ugonjwa wa ukimwi na mbinu mbalimbali za
kupambana nao Kushoto ni Mama Salma mke wa
Ras Jakaya Kikwete na kushoto ni Mkuu
wa mkoa wa Lindi Mh. Ludovick Mwananzila.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri
wa Afya na Ustawi wa jamii Mh. Hussein
Mwinyi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja
wa ndege wa Lindi Mkoani humo katikati ni
Mh. William Lukuvi Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu , Sera na uratibu wa bunge
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge
wa jimbo la Lindi mjini Salum Barwany wakati
alipowasili mjini Lindi asubuhi hii kwenye
uwanja wa ndege wa Lindi.
Chanzo: Mjengwa Blog
No comments :
Post a Comment