KUSOMA NCHINI INDIA!
Leo nawaletea habari nzuri kwa wale wote waliomaliza kusoma kidato cha nne.Waliomaliza kidato cha nne wana nafasi nzuri ya kusoma India pre-university kwa bei nafuu kwa mtanzania.
Kusoma nnje ya nchi sio kwa matajiri hata kwa wenye uwezo wa kawaida ili kumfanya mtoto kuwa na exposure kukabiliana na hali ya nchi na kujenga nchi na kumjenga mtoto katika hali ya kujitegemea na kutotegemea ajira pekee yake bali hali ya kuendeleza nchi yetu.
Kwa aliyekuwa tayari au ambae anahitaji nafasi hii tuwasiliane zaidi kupitia:
<aahmeda50@hotmail.com>
au kwa simu namba:
+917829022628.
Ally Ahmed
Ally Ahmed
No comments :
Post a Comment