11 Dec 2012.
Yassini Kapuya akiwa na kitabu chake alichozindua siku ya sherehe
ya Uhuru iliyofanyika Jumamosi December 8, 2012 kwnye Jiji la
Wajanja Oakland California
Mwenyekiti wa CCM DMV Loveness Mamuya (kulia) akipata picha
ya pamoja na Missy Tameke (wapili toka kulia) na Watanzania wa
California kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara
kutimiza miaka 51 iliyofanykia California Ballroom, Oakland.
Meza ya wadau wa DC
Deo Temba (kulia) akipata picha ya pamoja na mdau
Mdau katika pozi
Watanzania wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Uhuru wa miaka
51 kwenye Jiji la wajanja Oakland, California
Walter Minja katika picha ya pamoja na Lisa kutoka Finland.
kwa picha zaidi bofya read more
Chanzo: Vijimambo Blog
|
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Tuesday, December 11, 2012
PICHA ZINGINE ZA SHEREHE YA UHURU, OAKLAND, CALIFORNIA
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment