Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said
Ali Mbarouk kulia akibadilishana Mawazo na Kadhi
Mstaafu wa Kenya Sheikh,Hamad Kassim katika
Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh
Abdalla Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar
Mwaka 1960kisha akawa Kadhi Mkuu wa Kenya
Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika People Palace
Forodhani Zanzibar.
Baadhi ya Walimu wa Madrasa na Wanafunzi
waliohudhuria katikaTamasha la Kiislamu la kumuenzi
na kumkumbuka Sheikh Abdalla Saleh Farsy aliewahi
kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960kisha akawa Kadhi
Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha lililofanyika
People Palace Forodhani Zanzibar.
Mwanafunzi wa Sheikh Abdalla Saleh Farsy Sheikh
Machano Hamadi Machano akitoa Historia ya Madarasa
aliokuwa akifundisha Sheikh huyo na Masomo yake katika
Tamasha la Kiislamu la kumuenzi na kumkumbuka Sheikh
Abdalla Saleh Farsy aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka
1960kisha akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.
Tamasha lililofanyika People Palace Forodhani Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali
Mbarouk akitoa hotuba katika Tamasha la Kiislamu la
kumuenzi na kumkumbuka Sheikh Abdalla Saleh Farsy
aliewahi kuwa Kadhi wa Zanzibar Mwaka 1960kisha
akawa Kadhi Mkuu wa Kenya Mwaka 1968.Tamasha
lililofanyika People Palace Forodhani Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SI MAI - MAELEZO ZANZIBAR
Chanzo: Mjengwa Blog
No comments :
Post a Comment