Ukuta wa Ubungo Terninal uliobomoka wasababisha hasara kubwa
Baadhi ya magari yaliyoangukiwa na ukuta.
Magari mbalimbali yakiwa chini ya kifusi.
Gari aina ya Noah likiwa limegandamizwa na zege.
Hii ndiyo hali halisi ya tukio lilivyokuwa.
Gari aina ya Toyota likiwa limebonyezwa na zege.
Watu wakiangalia magari yao.
Kenyela akiongea jambo juu ya ajali hiyo.
likuwa ni hasara tupu.
Chanzo: GoldenTz
No comments :
Post a Comment