Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 23, 2013

AN-NUUR!


MZEE Bilal Waikela (mwenye bakora) akitoka nje ya mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kutoa ushahidi wake katika kesi ya Sheikh Ponda
MZEE Bilal Waikela (mwenye bakora) akitoka nje ya mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kutoa ushahidi wake katika kesi ya Sheikh Ponda
BAKWATA wamefanya dhambi kubwa-Waikela
*   Ni kwa kuuza mali za Waqfu, Mahakama yaombwa kuzirejesha
*   Nyerere alimfunga Waikela kwa kuipinga Bakwata 1963
*   Sheikh Ponda akamilisha ushahidi
*   Walioandamana kwenda kwa DPP jela mwaka mmoja
Maaskofu wamepanda upepo wanavuna tufani
*   Hakuna mateso, bali ‘mfumo’ umetikiswa
*   Hakuna anayejua muungano utapona
*   Mbeleko inayowabeba inazidi kuchakaa
Nani atalipa dhulma hii Rais Shein, DPP au Jaji?
Kufeli wanafunzi kidato cha nne: NECTA isafishwe kwanza
*   Wakuu Shule za Kiislam wafichua mazito
*   Washuku kuwa inachakachua matokeo
*   Wawasilisha hoja zao kwa Waziri Mkuu
Polisi waanza kuhoji Masheikh sakata la gesi Mtwara
*   Shura ya Maimamu Mtwara  wasakamwa-
*   Wamo Sheikh Jamaldin Chamwi,  Abubakar Mbuki
Marekani na Uingereza ziliizamisha Irak katika damu
Ngoma ya washenzi: Miaka kumi katika kilindi cha Jehanam
Pata nakala yako hapa: Annuur Ijumaa

No comments :

Post a Comment