dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, April 11, 2013

DPP ashindwa kuwasilisha sababu za kukataa dhamana kwa Uamsho

UAMSHO CASE!
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP) Ibrahim Mzee Ibrahim amekataa kuwasilisha sababu za kunyimwa dhamana viongozi wa Uamsho kwa maaandishi na sasa wanasubiri maamuzi ya mahakama ya rufaa.
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP) Ibrahim Mzee Ibrahim amekataa kuwasilisha sababu za kunyimwa dhamana viongozi wa Uamsho kwa maaandishi na sasa wanasubiri maamuzi ya mahakama ya rufaa.
Mahakama Kuu ya Zanzibar imesema haitasikiliza kesi inayowakabili viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) hadi pale Mahakama ya Rufani itakapotoa maamuzi juu ya rufani zilizokatwa huko.
 Upande wa mashitaka wa serikali umekata rufani Mahakama ya Rufani ukipinga maamuzi ya Jaji Fatma Hamid Mahmoud anayesikiliza kesi hiyo aliyoutaka upeleke kwa maandishi sababu za kuzuia dhamana ya washitakiwa hao.
Mwanasheria wa serikali, Raya Issa Mselem aliiambia Mahakama jana kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Ibrahim Mzee Ibrahim hakuridhishwa na maamuzi hayo ya Mahakama hasa ya kuwasilisha kwa maandishi sababu za kupinga dhamana kwa washitakiwa hao.
Alidai kuwa kutokana na hali hiyo DPP ameamua kukata rufani Mahakama ya Rufani. Kwa mfumo wa Mahakama Tanzania Mahakama ya Rufani ni suala la Muungano.
Hiyo itakuwa rufani ya pili kukatwa na upande wa mashitaka katika kesi hiyo baada ya awali kupinga maamizi ya Jaji Abraham Mwampashi wa Mahakama Kuu Zanzibar aliyefuta maagizo ya Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, George Kazi likiwemo la kuwanyima dhamana washitakiwa hao.
Wakili wa utetezi, Salum Toufiq ameiomba Mahakama kutokubaliana na uamuzi huo kwani upande wa mashtaka unahalifu amri ya Mahakama kama kulikuwa na sababu za msingi ilikuwa waeleze mapema .
Jaji Fatma alisema amesikia maombi ya pande zote mbili hivyo upande wa mashitaka unayo haki ya kukata rufani na atasikiliza kesi hiyo baada ya maamuzi ya Mahakama ya Rufani au zikipita siku 60 bila ya maamuzi.
Washitakiwa hao ambao wataendelea kusota rumande ni Farid Hadi Ahmed (41) mkaazi wa Mbuyuni,Mselem Ali Mselem (52) mkaazi wa Kwamtipura, Mussa Juma Mussa (47) mkaazi wa Makadara na Azan Khalid (48) mkaazi wa Mfenesini.
Wengine ni Suleiman Juma Suleiman (66), mkaazi wa Makadara, Khamis Ali Suleiman (59) mkaazi wa Mwanakwerekwe, Hassan Bakar Suleiman (39) mkaazi wa Tomondo, Ghalib Ahmada Juma (39) mkaazi wa Mwanakwerekwe na Abdallah Said (48) mkaazi wa Misufini
Washitakiwa hao wamefikishwa mahakamani kwa madai ya kuharibu mali, uchochezi, ushawishi na kuhamasisha fujo na kuhatarisha usalama.

Chanzo: ZanzibariYetu

1 comment :

  1. GOOD DAY MY PEOPLE OF UMAR

    TESTIMONY ON HOW I GOT A LOAN of 75,000 EURO TO BUY A HOUSE FROM A REAL AND GENUINE LOAN COMPANY CALLED sky experience loan loan firm . I AM VERY HAPPY TODAY AND GOD BLESS the manager of sky experience loan

    My name is Boumaza I am from united Arab Emirate i have been searching for a genuine loan company for the past 5 months ,to buy a house
    all i got was bunch of scams who made me to trust them and at the end of the day, they took my money without giving anything in return, all my hope was lost, i got confused and frustrated, i never wanted to have anything to do with loan companies on the internet, so i went to borrow some money from a
    friend, i told her all that happened and she said she can help me, that she knows a loan company that can help me with any amount of loan needed by me with a very low interest rate of 2%, that she just got a loan from them, she directed me on how to apply for the loan, i did just as she told me, i applied with them on (contact@skyexperienceloan.com) or,
    (skyexperienceloan@gmail.com) visit their WEBSITE
    https://skyexperienceloan.com/, i never believed but i tried and to my greatest surprise i got the loan within 24 hours, i could not
    believe, i am happy and rich again and i am thanking God that such loan companies like this still exist upon this scams all over the places, please i advise everyone out there who are in need of loan to go for (contact@skyexperienceloan.com) or
    (skyexperienceloan@gmail.com) they will never fail you,and
    your life shall change as mine did.Quickly contact at
    (contact@skyexperienceloan.com) or(skyexperienceloan@gmail.com)today and get your loan from them,God bless manager of sky experience loan for their genuine loan offer. Make sure you contact loan manager of sky experience loan for your loan because i got my loan successfully from this company without
    stress. WEBSITE
    https://skyexperienceloan.com

    ReplyDelete