Tanzania´s National Day Party (Muungano) at Slurpen Festlokale, Friday 26th April 2013
Balozi Mzale akitabasam na wenyeji wake!
Mwenyekiti wa Chama cha Watanzania Oslo, Dr. Titus Sendeu Tenga akitoa hotuba.
Rais wa TASAO (Tanzanian Students Ossociation Oslo), Ndg. Hatibu Mgeja akitoa hotuba.
Dada Aisha S. akiwaimbisha watu wimbo wa taifa.
Mheshimiwa Balozi Muhammed Mzale, balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic (Norway, Finland, Sweden, Denmark, Iceland na Faeroe) na za Baltic (Estonia, Latvia na Lithuenia) akifungua ukumbi
Msanii wa BongoFlava; Chege akifanya vitu vyake
Henry Joseph (Mwanasoka wa kulipwa Mtanzania anayechezea timu ya Kongsvinger), Dr. Titus Tenga na Balozi Mzale
DJ. Humphrey
Chege
Source: Picha kutoka Blog la WatanzaniaOslo
No comments :
Post a Comment