Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, April 27, 2013

SHEREHE ZA MUUNGANO

WATANGAYIKA NA WIZI WA SHEREHE ZA MUUNGANO

Written by   //  27/04/2013  
Jamani hawa Watanganyika wataendelea na huu wizi wao wa kuwaibia Wazanzibari kila kitu hata
hizi sherehe za Mungano mpaka lini?
Zamani wakati wa marehemu Karume tuliona sherehe zinakuwa za pammoja yaani Mzee Karume
wanapanda gari la pammoja na kukaguwa gwaride pammoja hii ilikuwa kuimanisha kuwa muungano ni wa nchi mbili na viongozi hao wa nchi mbili kuwa pammoja
Sasa hawa wezi Watanganyika wameziiba sherehe za Muungano kuwa zao peke yao na kila mwaka kuziofanya nchini kwao na humuoni tena huyo rais wa Zanzibar kwenye gwaride au hata kupanga lile gari kuwa pammoja kama wakati wa uhai wake Karumeili kuwaonyesha wananchi kuwa tuko wawili ndio ishara ya muungano wa nchi mbili
Isitoshe wezi hawa wanaona ni haki yao kufanya sherehe kule kwao tu .Sasa nawauliza hawaoni haya hata kidogo kuwaibia hao wanaowaita ndugu zao alau kwa kuwadanganya kwa lkila mwaka sherehe hizi zikafanyika kila upande?
Wazanzibari muwajuwe hao Watanganyika si wenzenu wanataka kukuibieni tu na hata bado mtayaona wenyewe huko mbele amkeni wacheni kulala usingizi wa pono.
Chanzo: Mzalendo.net

No comments :

Post a Comment