Juzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa BLM, amemteua Abeid Juma Kombo, kuwa Mkurugenzi mpya wa Baraza la Manispaa Zanzibar (ZMC).
Rais pia amemteua Suleiman A.Haji kuwa Mkurugenzi wa Mikopo katika Wizara ya Kazi, Uwezeshaji wananchi Kiuchumi na Ushirika.
Kadhalika Rais, amemteua Bibi Sabah Saleh Ali (motto wa bwana saleh master) kuwa Afisa Tawala Wilaya ya Magharibi Unguja.
Na mwisho amemteua SSP Kheriyangu Mgeni Khamis kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya, Afisi ya Makamo ya Kwanza ya Rais Zanzibar. Uteuzi huu umeanza April 20/2013.
Chanzo: Gazeti la Zanzibar Leo.
No comments :
Post a Comment