Written by ZACADIA // 07/05/2013
ZANZIBAR-CANADIAN DIASPORA ASSOCIATION, INACHUKUWA FURSA HII KUWASHUKURU WAZANZIBARI WOTE WAISHIO CANADA WALIOJITOKEZA KUMCHANGIA BI. SALMA SAID KWA AJILI YA KUMSAIDIA KWA SHUGHULI ZA MATIBABU.
JUMLA YA SHILINGI 300,000/= ZIMEWASILISHWA ZANZIBAR KWA AJILI YA MPANGO HUO NA TUNATOA PONGEZI KWA MOYO WAO WA KUWASAIDIA NDUGU ZETU WANAOFIKWA NA MATATIZO HUKO ZANZIBAR.
SHUKRANI
ADMINISTRATION
ZACADIA
CANADA
Chanzo: Mzalendo
No comments :
Post a Comment