dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, June 23, 2013

Makamu wa Rais Dkt. Bilal Aongoza Kikao cha SMZ na SMT Mjini Dodoma


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Kikao cha SMZ na SMT, kiliochofanyika Dodoma Hoteli, leo Juni 23, 2013. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda, na (kushoto) ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza Kikao cha SMZ na SMT, kiliochofanyika Dodoma Hoteli, leo Juni 23, 2013. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda, na (kushoto) ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo ameongoza Kikao cha SMT na SMZ, kilichofanyika kwenye ukumbi wa Dodoma Hoteli, mjini Dodoma, leo Juni 23.
Kikao hicho kimehudhuriwa pia na mhe. Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi, Seif Idd, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amani, Ali Juma Shamhuna na Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samih Suluhu pamoja na washiriki wa kikao hicho Mawaziri kutoka serikali zote mbili za Tanzania Bara na Zanzibar.
Mawaziri mbalimbali walioshiriki kwenye kikao hicho.
Mawaziri mbalimbali walioshiriki kwenye kikao hicho.
Mawaziri mbalimbali walioshiriki kwenye kikao hicho.
Mawaziri mbalimbali walioshiriki kwenye kikao hicho.
              Chanzo: ZanzibariYetu

No comments :

Post a Comment