Rais Jakaya Kikwete akipokelewa na Meya wa jiji la Salzburg nchini Australia, Wilfred Haslauer, alipowasili wa Uwanja wa Ndege wa Salsburg jana kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa masuala ya utandawazi wa Haki na Usawa.PICHA:IKULU.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment