VURUGU BUNGENI LEO
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya
Bunge, baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae
na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo. Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge kumtoa
nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka pia isipokuwa
Mh. Augustin Mrema wa TLP. Upinzani Bungeni unadai muswada wa katiba
2013 unamapungufu.
Picha ikionyesha Mhe.Joseph Mbilinyi akitolewa nje ya Binge angalia Video upate picha kamili

No comments :
Post a Comment